Mafunzo ya kuendesha gari
Jifunze kuendesha gari
Unachotarajia kwenye kozi hii!
Pita mtihani wako wa uendeshaji gari na uwe mwendeshaji salama
Tutakufunza kuendesha gari na hata ukiwa umelemwa na uoga tutakusaidia kuepuka uoga huo. Kuwa na imani nasi na uje tukuauni.
Pita mtihani wako wa Kat. B na uwe dereva salama wa gari.
Unataka kupata leseni yako ya udereva.
Labda tayari umechukua mtihani wa kuendesha gari lakini umeshindwa mara moja au mara kadhaa? Usikate tamaa!
Pia tumepata uzoefu huu na tunajua hali yako na hisia zako.
Kwa usaidizi wa kitaalamu, tutakufikisha kwenye lengo lako kwa ustadi na usikivu.
Pia tumefunzwa kukusaidia kuondokana na hofu yoyote ambayo unaweza kuwa nayo kuhusu mitihani.
Jiamini sasa na uwasiliane nasi.

Mwakaribishwa nyote
Wanafunzi kuanzia miaka 17
- Mtihani wa kategoria iitwayo BPT k.m Taxi/Waalimu wa kuendesha magari
- Mtihani wa majaribio
- Wote walio na uoga wa kuendesha magari
- Wale wanaotaka kujirefreshi
Maelezo zaidi
Ofisi: Gartenstrasse 149,
4052 Basel
Bei: CHF 80.00 kwa saa
Bima ya gari: CHF 100.00 mara moja tu
Ofisi: Gartenstrasse 149,
4052 Basel
Bei: CHF 80.00 kwa saa
Bima ya gari: CHF 100.00 mara moja tu