Hakuna Matata Crew Shule iko kwa Bahnhof SBB inaelekeana na (BIS) Gartenstrasse 149, 4052 Basel. Jumba laitwa "Die Post" Ingia kwenye lift iliyoelekeana na Bahnhof Imbiss halafu nenda Niveau 7 (4 Floor) Kuna pahali pa kulipia kuegesha gari katika orofa ya pili