HAKUNA MATATA CREW
  • Mwanzo
  • Taarifa Binafsi
  • Huduma
    • Lugha ya Kiswahili
    • Lugha zingine
    • Kiingereza Shuleni
    • Tafsiri na Fasiri
    • Karakana ya Muungano
    • Kozi ya upishi
    • Ukodishaji wa chumba
    • Basic Theory lessons
    • Jifunze kuendesha gari
    • Kozi ya huduma ya kwanza
  • Habari
  • Sehemu
Swahili
  • Deutsch
  • English
  • Swahili
Picture
Kiingereza kwa Shule za msingi

Kanakana ya kipekee ya Kiingereza na Lucy

      Jiji la Basel linagharamia karakana hii
  • Safari ya kujifunza Kiingereza kwa furaha huku wakijifunza utamaduni wa Afrika Mashariki kwa kupitia michezo, nyimbo, kucheza dansi na kupika na kula pamoja na wanafunzi wenzao
  • Nchini Uswisi, mimi ndiye mwakilishi wa. kipekee wa warsha katika shule na taasisi nyinginezo
  • Ni nyongeza ya kusisimua kwa masomo ya Kiingereza, ambayo wanafunzi hujifunza mandhari ambayo ni ya kawaida kwao ilhali wanafurahia kufanya mazoezi ya kuzungumza Kiingereza
  • Wanafunzi hujifunza utamaduni wa Afrika Mashariki kwa kuimba nyimbo za Kiingereza, kucheza dansi na kucheza michezo tofauti
  • Masomo yanapangwa ili kuwiana na rika mbalimbali ya wanafunzi na nitaleta vifaa vinavyofaa kutumiwa (vitambaa, ala za muziki, picha n.k.)
  • Ninachanganya elimu ya kitamaduni na masomo ya Kiingereza pekee. Madhumuni ya kozi hii ni kufungua macho na akili za wanafunzi kwa tamaduni zingine na kukumbatia tamaduni za kigeni
  • Wanafunzi hujitumbukiza kwa muda mchache katika safari ya aina mbalimbali na ya kupendeza kupitia utamaduni wa Afrika Mashariki
  • Kulingana na umri wa wanafunzi na muda uliopo, tunaweza pia kuandaa vyakula vya asili vya Afrika Mashariki pamoja. Haya ni mapishi ambayo wanafunzi wanaweza pia kupika nyumbani
  • Tunapowasiliana kwa Kiingereza, wanafunzi pia hufanya mazoezi ya kutumia Kiingereza wakati wa kupika
  • Baada ya warsha yangu, wanafunzi wako wataangalia ulimwengu na tamaduni kwa macho tofauti
  • Mpango kamili unategemea muda tutakaoupangia kulingana na umri wa wanafunzi
  •  Tutajadiliana kuhusu maudhui na kukubaliana mapema
  • Ikiwa angalau masaa matatu yataamuliwa, tutaweza kuandaa kozi ya upishi pamoja
  •  Muda usipotosha ninaweza kuwaletea vitafunio vya kitamaduni za Afrika Mashariki
  • Katika karakana hii tutajaribu iwezekanavyo kuzungumza kwa Kiingereza. Hii ni njia ya kuwafurahisha  wanafunzi huku wakifanya mazoezi na kuikuza ustadi wao wa lugha
  • Kama kutakuwa na ombi la kufunza kwa Kijerumani pia itawezekana
  • Nitawaonyesha nyenzo za kujifunzia
Habari juu ya karakana ya Upishi
  • Ununuzi wa chakula pamoja na walimu (iwapo watataka kufanya hivyo)
  • Utajifunza kuhusu viungo maalum kutoka 'Zanzibar Spice Market'.
  • Asili na matumizi ya manukato yanaelezwa. Kisha tunaanza kutengeneza bafe ya kifahari ya Afrika Mashariki
  • Wala mboga wana chaguo pana
  • Tunavaa nguo maalum, kama inavyovaliwa katika jikoni za Afrika Mashariki hasa Waswahili wa pwani
  • Kuna mhadhara mfupi wa jinsi ya kuwasiliana kwa kutumia Khanga/Leso kipande cha kitambaa miongoni mwa Utamaduni wa Waswahili
  • Ili tujisikie kama tuko Afrika, tunapika na kula pamoja katika mazingira ya Kiafrika na muziki wa Kiafrika ukiimba pembeni
  • Utakuwa na uwezo wa kubeba maelekezo ya upishi wa orodha ya vyakula vitakavyopikwa ili uweze kujipikia pia nyumbani kwako

Hizi ni picha zetu katika shule tofauti!

Picture
Picture
Picture
Picture
Picture
Picture


Picture
Picture
Taarifa:
Mahali: Masomo yanaweza kufanyika katika eneo lako, shuleni au kituoni kwangu.
Bei: Dakika 60 - CHF 150 (Canton Basel-Stadt inagharamia ada)
Vikundi: Wanafunzi 5 hadi 30
Muda: kuanzia dakika 60 hadi masaa 8
Habari zaidi: www.edubs.ch

    Jiandikishe hapa

Tuma

Hivi ndivyo wanafunzi wanavyosema kumhusu Lucy

Ilikuwa ni furaha sana kuwa na Lucy shuleni kwetu. Nilifurahia kuimba na kucheza kwa ala zaidi."
 Fanice katika Shule ya Msingi ya Wasgenring
Tulipata fursa ya kupika, kula, kucheza na kuimba pamoja. Ilikuwa ya ajabu."
Teresia katika Shule ya Msingi ya Neubad
Ilikuwa heshima kuu kwamba Lucy alikubaliwa kuja shuleni kwetu na kuonyesha talanta yake. Wanafunzi wetu walifurahi sana. Walipenda mchezo wa NDIYO na HAPANA na shughuli ya mchezo Simama na kukaa chini sana.
Sarah, mwalimu katika Primarschule Gellert

Gartenstrasse 149,
CH-4052 Basel
Mobil: 00 41 76 578 45 55

[email protected]
www.hakunamatatacrew.com

Impressum
Sera ya faragha
Bild
  • Mwanzo
  • Taarifa Binafsi
  • Huduma
    • Lugha ya Kiswahili
    • Lugha zingine
    • Kiingereza Shuleni
    • Tafsiri na Fasiri
    • Karakana ya Muungano
    • Kozi ya upishi
    • Ukodishaji wa chumba
    • Basic Theory lessons
    • Jifunze kuendesha gari
    • Kozi ya huduma ya kwanza
  • Habari
  • Sehemu
  • Home
  • Ueber mich
  • Angebote
    • Integration Workshop
    • Übersetzungen und Dolmetschen
    • Sprachkurse
    • Suaheli
    • Englisch in Schulen
    • Koch-Workshop
    • Nothelferkurse
    • Autofahren Lernen
    • Basistheorie Unterricht
    • Raumvermietung
  • Presse
  • Erfahrungsberichte
  • Kontakt